• HABARI MPYA

  Sunday, November 11, 2018

  MABAO YA SALAH NA SHAQIRI, LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 FULHAM

  Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Liverpool dakika ya 41 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao la pili lilifungwa na Xherdan Shaqiri dakika ya 53 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MABAO YA SALAH NA SHAQIRI, LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 FULHAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top