• HABARI MPYA

  Thursday, November 08, 2018

  LEWANDOWSKI AFUNGA MAWILI BAYERN MUNICH YAICHAPA AEK ATHENS 2-0

  Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao yote mawili dakika ya 31 kwa penalti na 71 ikiwalaza AEK Athens 2-0 usiku wa Jumatano katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya        
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI AFUNGA MAWILI BAYERN MUNICH YAICHAPA AEK ATHENS 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top