• HABARI MPYA

  Thursday, November 08, 2018

  BENZEMA APIGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 5-0 UGENINI ULAYA

  Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 10 na 37 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Viktoria Plzen kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya na kufikisha mabao 200 ya kuifungia klabu hiyo. Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Casemiro dakika ya 23, Gareth Bale dakika ya 40 na  Toni Kroos dakika ya 67 Uwanja wa Doosan Arena mjini Plzen 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 5-0 UGENINI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top