• HABARI MPYA

  Wednesday, November 07, 2018

  GRIEZMANN AFUNGA LA PILI ATLETICO MADRID YAICHAPA 2-0 BORUSSIA DORTMUND

  Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid dakika ya 80 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Bao la kwanza lilifungwa na Saul Niguez dakika ya 33 akimalizia pasi ya Filipe Luis 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN AFUNGA LA PILI ATLETICO MADRID YAICHAPA 2-0 BORUSSIA DORTMUND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top