• HABARI MPYA

  Wednesday, November 07, 2018

  KANE AFUNGA ZOTE MBILI TOTTENHAM IKIICHAPA 2-1 PSV

  Harry Kane akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la ushindi Tottenham Hotspur dakika ya 89 ikiilaza 2-1 PSV katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Kane pia aliifungia bao la kusawazisha Spurs dakika ya 78, baada ya Luuk de Jong kutangulia kuifungia PSV dakika ya pili tu kwa kichwa akimalizia kona ya Gaston Pereiro 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANE AFUNGA ZOTE MBILI TOTTENHAM IKIICHAPA 2-1 PSV Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top