• HABARI MPYA

    Thursday, November 08, 2018

    JESUS APIGA HAT TRICK MAN CITY YAITANDIKA 6-0 SHAKHTAR

    Gabriel Jesus akishangilia baada ya kufunga hat-trick dakika za 24, 72 kwa penalti na 90 na ushei katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Shakhtar Donetsk katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad.
    Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya 13, Raheem Sterling dakika ya 48 na Riyad Mahrez dakika ya 84 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JESUS APIGA HAT TRICK MAN CITY YAITANDIKA 6-0 SHAKHTAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top