• HABARI MPYA

  Wednesday, October 03, 2018

  DZEKO APIGA HAT TRICK AS ROMA IKIITANDIKA 5-0 VICTORIA PLZEN

  Edin Dzeko (kulia) akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kuifungia AS Roma mabao matatu dakika za tano, 40 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Viktoria Plzen usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Olimpico mjini Roma, Italia. Mabao mengine ya Roma yalifungwa na Cengiz Under dakika ya 64 na Justin Kluivert dakika ya 73, kinda wa miaka 19 aliyefungua akaunti ya mabao kwenye michuano hiyo jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DZEKO APIGA HAT TRICK AS ROMA IKIITANDIKA 5-0 VICTORIA PLZEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top