Wachezaji wa Manchester United, Paul Pogba, Anthony Martial na Romelu Lukaku wakiwasili katika hoteli ya Hilton jana jirani kabisa na Uwanja wa Old Trafford kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wao wa leo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Juventus kuhofia kupigwa faini na UEFA tena baada ya kuchelewa uwanjani katika mchezo dhidi ya Valencia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment