• HABARI MPYA

    Wednesday, October 03, 2018

    BAYERN MUNICH WANG'ANG'ANIWA NA AJAX NYUMBANI, SARE 1-1

    Wachezaji wa Bayern Munich, Niklas Suele, Javi Martinez na Joshua Kimmich wakiondoka kinyonge Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Ajax katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana.  Mats Hummels alianza kuwafungia wenyeji dakika ya nne kabla ya Noussair Mazraoui kuwasawazishia dakika ya 22 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAYERN MUNICH WANG'ANG'ANIWA NA AJAX NYUMBANI, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top