• HABARI MPYA

  Wednesday, October 03, 2018

  REAL WAPIGWA URUSI WAWEKA REKODI YA KWANZA YA KUBORONGA TANGU 2007

  Beki wa CSKA Moscow, Ilzat Akhmetov akiutelezea mpira miguuni mwa kiungo wa Los Blancos, Marco Asensio pembezoni mwa Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi usiku wa jana wakati wa mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya. CSKA Moscow ilishinda 1-0, bao pekee la Nikola Vlasic anayecheza kwa mkopo kutoka Everton dakika ya pili tu hivyo Real Madrid kufikisha mechi tatu za kucheza bila kufunga bao kwa mara ya kwanza tangu Januari mwaka 2007 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL WAPIGWA URUSI WAWEKA REKODI YA KWANZA YA KUBORONGA TANGU 2007 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top