• HABARI MPYA

  Wednesday, October 24, 2018

  REAL MADRID YASHINDA 2-1 NYUMBANI DHIDI YA TIMU YA CZECH

  Kiungo Mbrazil, Marcelo akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid dakika ya 55 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Viktoria Plzen ya Jamhuri ya Czech usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la kwanza la Real Madrid lilifungwa na Mfaransa Karim Benzema dakika ya 11, wakati la wageni lilifungwa na Patrik Hrosovsky dakika ya 78 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YASHINDA 2-1 NYUMBANI DHIDI YA TIMU YA CZECH Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top