• HABARI MPYA

  Wednesday, October 24, 2018

  KROSI YA RONALDO YAITEKETEZA MAN UNITED OLD TRAFFORD, YAFA 1-0 KWA JUVE

  Cristiano Ronaldo akimpongeza Paulo Dybala baada ya kuitendea vyema krosi yake kwa kuifungia Juventus bao pekee dakika ya 17 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Ols Trafford kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KROSI YA RONALDO YAITEKETEZA MAN UNITED OLD TRAFFORD, YAFA 1-0 KWA JUVE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top