• HABARI MPYA

  Sunday, November 05, 2017

  YANGA NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA NAMFUA

  Beki wa Yanga, Kevin Yondan (kushoto) akikabiliana na winga wa Singida United, Deus Kaseke katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Namfua, Singida timu hizo zikitioka sare ya 0-0 
  Beki wa Yanga, Gardiel Michael akimdhibiti mshambuliaji wa Singida United, Danny Usengimana
  Kevin Yondan akiwa juu kuokoa kwa kichwa dhidi ya Deus Kaseke
  Kocha wa Singida United, Hans van der Pluijm akizungumza na mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa
  Kikosi cha Singida United kabla ya mchezo wa jana  
  Kikosi cha Yanga kabla ya mchezo wa jana
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA NAMFUA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top