• HABARI MPYA

    Sunday, November 05, 2017

    AZAM FC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA

    Kiungo wa Azam FC, Yahya Zayed akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0 
    Mshambuliaji wa Azam, Mbaraka Yusuph akiwania mpira dhidi ya beki wa Ruvu Shooting
    Winga Mghana wa Azam FC, Enock Atta-Agyei akikabiliana na mchezaji wa Ruvu Shooting
    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka mchezaji wa Ruvu
    Wachezaji wa Azam na Ruvu Shooting wakisalimiana kabla ya mechi 
    Makamu Mwenyekiti wa Azam, Abdulkarim Amin 'Popat' akiwa na viongozi wenzake jana Chamazi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top