Mshambuliaji Mjapan wa Leicester City, Shinji Okazaki akiutelezea mpira dhidi ya kipa wa Stoke City, Jack Butland katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Uwanja wa bet365, Staffordshire timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Stoke yalifungwa na Xherdan Shaqiri dakika ya 39 na Peter Crouch dakika ya 73, wakati ya Leicester yamefungwa na Vicente Iborra dakika ya 33 na Riyad Mahrez dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Newcastle stadium plans in limbo - Howe
-
Eddie Howe says Newcastle's stadium and training ground plans are "in
limbo" and there is a "99.9% chance" he will not be in charge when they are
realised.
30 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment