• HABARI MPYA

  Saturday, November 04, 2017

  TASWA YAWACHAPA POLISI 5-0 UHURU NA KUBEBA NGAO

  Mshambuliaji wa timu ya Waandishi wa Habari wa Michezo (TASWA), Said Seif (kushoto) akiruka kumkwepa beki wa Polisi Fc, Andew Thomas, wakati wa mchezo wa kirafiki katika Maazimisho ya 10 ya Mtandao wa Polisi yaliyoanza jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam na yanatarajia kumalizika Novemba 9, mwaka huu. TASWA FC ilishinda mabao 5-0

  DCP Mary Nzuki wa Jeshi la Polisi, akimkabidhi Ngao ya ushindi Nahodha wa TASWA FC, Willbert Moland, baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Polisi  
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TASWA YAWACHAPA POLISI 5-0 UHURU NA KUBEBA NGAO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top