• HABARI MPYA

    Saturday, November 04, 2017

    SIMBA NA MBEYA CITY WALIVYOFANYA MAZOEZI YA MWISHO LEO SOKOINE KABLA YA KUIVAANA KESHO

    Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya asubuhi ya leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Mbeya City 
    Wachezaji wa Simba wakiendelea na mazoezi Uwanja wa Sokoine leo  
    Simba ipo Mbeya tangu Ijumaa kwa ajili ya mechi mbili za Ligi Kuu, nyingine dhidi ya Tanzania Prisons wiki mbili zijazo
    Wachezaji wa Mbeya City nao wakifanya mazoezi Uwanja wa Sokoine asubuhi ya leo kabla ya kuwapisha Simba
    Kocha Mrundi, Nsanzurwimo Ramadhani (kulia) akiwanoa wachezaji wake

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA MBEYA CITY WALIVYOFANYA MAZOEZI YA MWISHO LEO SOKOINE KABLA YA KUIVAANA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top