• HABARI MPYA

  Saturday, November 04, 2017

  SALAH AFUNGA MAWILI, OXLADE-CHAMBERLAIN MOJA LIVERPOOL YAUA 4-1

  Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 21 na 75 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa London. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Joel Matip dakika ya 24 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 56, wakati la West Ham limefungwa na Manuel Lanzini dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA MAWILI, OXLADE-CHAMBERLAIN MOJA LIVERPOOL YAUA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top