Winga wa Manchester City, Leroy Sane akiwa amepozi na tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Oktoba wa Ligi Kuu ya England baada ya kukabidhiwa leo, akiwapiku mchezaji mwenzake wa Etihad, Kevin De Bruyne na Nacho Monreal wa Arsenal kufuatia kufunga mabao matatu na kutoa pasi tatu za mabao mwezi uliopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Friday, November 17, 2017
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment