• HABARI MPYA

  Thursday, November 02, 2017

  SALAH AFUNGA LA KWANZA LIVERPOOL YAWAPIGA VIBONDE 3-0

  Mohamed Salah akiwa juu kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Maribor usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Emre Can dakika ya 64 Daniel Sturridge dakika ya 90 wakati kipa wa Maribor, Jasmin Handanovic alicheza penalti ya James Milner dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA LA KWANZA LIVERPOOL YAWAPIGA VIBONDE 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top