• HABARI MPYA

  Tuesday, November 14, 2017

  RONALDO AREJEA MAZOEZINI REAL MADRID IKIJIANDAA NA ATLETICO

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akipiga shuti wakati wa mazoezi ya timu yake, Real Madrid kujiandaa na mchezo wa La Liga dhidi ya mahasimu wa Jiji, Atletico Madrid Jumamosi baada ya kurejea kufuatia mapumziko mafupi ya kwenda kuwa na mpenzi wake, Georgina Rodriguez aliyejifungua mwishoni mwa wiki 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AREJEA MAZOEZINI REAL MADRID IKIJIANDAA NA ATLETICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top