• HABARI MPYA

    Monday, November 06, 2017

    MESSI AONYESHA JEZI ZA ARGENTINA MWAKANI KOMBE LA DUNIA

    Nyota wa Argentina, Lionel Messi akionyesha jezi za timu yake kutoka kwa wadhamini wao wa vifaa vya michezo, kampuni ya Adidas ambazo watatumia kwenye fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi. Adidas imetambulisha jezi za timu zote inazozidhamini kwenye kombe la Dunia  GONGA HAPA KUTAZAMA JEZI ZA TIMU NYINGINE 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AONYESHA JEZI ZA ARGENTINA MWAKANI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top