• HABARI MPYA

  Sunday, November 05, 2017

  PSG YAUA 5-0 BILA NEYMAR , MBAPPE, CAVANI KILA MMOJA MAWILI

  Mshambuliaji wa Paris St Germain, Kylian Mbappe akimzunguka kipa wa Angers, Mathieu Michel kabla ya kufunga lake la pili dakika ya 84 baada ya awali kufunga dakika ya tano katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji wao hao usiku wa jana Uwanja wa Raymond Kopa mjini Angers kwenye mchezo wa Ligue 1. Mabao mengine ya PSG iliyomkosa nyota wake Neymar aliyekuwa anatumikia adhabu ya kadi nyekundu, yalifungwa na Edinson Cavani mawili pia dakika za 30 na 60 na Julian Draxler dakika ya 14 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG YAUA 5-0 BILA NEYMAR , MBAPPE, CAVANI KILA MMOJA MAWILI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top