• HABARI MPYA

    Sunday, March 19, 2017

    YANGA NA ZANACO KATIKA PICHA JANA LUSAKA

    Kiungo wa Yanga, Mzambia Justin Zulu akiokoa kwa tumbo jana moja ya hatari zilizoelekzwa langoni mwao katika mchezo wa marudiano hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Lusaka
    Kipa wa Yanga, Deo Munishi 'Dida' jana alifanya kazi vizuri
    Winga Simon Msuva pamoja na kushambulia, alikuwa akisaidia na ulinzi pia
    Kiungo Haruna Niyonzima akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira mchezaji wa Zanaco
    Augustine Mulenga wa Zanaco akimfunga tela Justin Zulu wa Yanga
    Mshambuliaji Mghana wa Zanaco, Attram Kwame akiingilia ukuta wa wachezaji wa Yanga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA ZANACO KATIKA PICHA JANA LUSAKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top