• HABARI MPYA

  Thursday, March 02, 2017

  YANGA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiwatoka mabeki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
  Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akimtoka beki wa Ruvu jana
  Beki wa Yanga, Hassan Kessy akimfukuzia mchezaji wa Ruvu jana
  Kocha wa Yanga, George Lwandamina akimpa maelekezo winga Geoffrey Mwashiuya
  Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Kikosi cha Ruvu Shooting jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top