Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, March 20, 2017

  SIMBA YAMNYATIA KIUNGO RASTA WA MADINI FC

  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe (kushoto) akizungumza na kiungo wa Madini FC ya Arusha jana Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha baada ya mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC).  Simba ilishinda 1-0 na kwenda Nusu Fainali.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: SIMBA YAMNYATIA KIUNGO RASTA WA MADINI FC Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top