• HABARI MPYA

  Saturday, March 04, 2017

  MESSI ANAPOWAPA DARASA WACHEZAJI WENZAKE BARCA

  Nyota wa Barcelona (wa pili kulia) akizungumza na wachezaji wenzake wakati wa mazoezi yao jana kujiandaa na mchezo wa leo wa La Liga dhidi ya Celta Vigo Uwanja wa Camo Nou, huku tayari kocha wao Luis Enrique akiwa amekwishatangaza atajiuzulu mwishoni mwa msimu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ANAPOWAPA DARASA WACHEZAJI WENZAKE BARCA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top