• HABARI MPYA

  Saturday, March 04, 2017

  MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE OLD TRAFFORD, 1-1 NA BOURNEMOUTH

  Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akipambana na Adam Smith wa Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1. Man United walitangulia kwa bao la Marcos Rojo dakika ya 23 kabla ya Joshua King kuisawazishia Bournemouth dakika ya 40 kwa penalti kabla ya kipa Artur Boruc kuicheza penalti ya Zlatan Ibrahimovic dakika ya 72 kuwanyima Mashetani Wekundu ushindi wa nyumbani. Bournemouth ilimaliza pungufu baada ya Andrew Surman kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE OLD TRAFFORD, 1-1 NA BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top