Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2017

  MABOSI WA ZANZIBAR WAKIFURAHIA UANACHAMA WA CAF JANA ADDIS

  ⁠⁠Ujumbe wa Zanzibar katika picha ya pamoja jana mbele ya bendera ya Zanzibar baada ya kupandishwa mjini Addis Ababa, Ethiopia kufuatia mkutano Mkuu wa Shirikisho lam Soka Afrika (CAF) ulioipa uanachama nchi hiyo. Wa pili kulia ni Waziri wa Michezo na Utalii wa Zanzibar, Rashid Ali Juma na kushoto kabisa ni Rais wa Chama cha Soka visiwani humo (ZFA)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MABOSI WA ZANZIBAR WAKIFURAHIA UANACHAMA WA CAF JANA ADDIS Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top