• HABARI MPYA

  Sunday, March 05, 2017

  HAYE ALA KICHAPO HADI KUKIMBIZWA HOSPITALI

  Refa akimuhesabia David Haye aliyeketi kulia baada ya ngumi za mpinzani wake, Tony Bellew katika pambano la uzito wa juu usiku wa jana ukumbi wa O2 Arena mjini London. Bellew alishinda kwa Technical Knockout (KO) raundi ya 11 na Haye aliyeumia mguu mwanzoni mwa pambano jambo lililomsababishia kipigo kikali jana, alikimbizwa hospitali baada ya pambano hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAYE ALA KICHAPO HADI KUKIMBIZWA HOSPITALI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top