• HABARI MPYA

  Sunday, March 12, 2017

  BARCELONA 'FULL MZIKI' YAGONGWA 2-1 NA MESSI WAO LA LIGA

  Lionel Messi (kulia) akimtoka beki wa Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Riazor.  Deportivo La Coruna imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na  Joselu dakika ya 40 na Álex Bergantiños dakika ya 74, wakati la Barca lilifungwa na Luis Suarez dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA 'FULL MZIKI' YAGONGWA 2-1 NA MESSI WAO LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top