• HABARI MPYA

    Saturday, March 18, 2017

    ARSENAL YA KUJIPIGIA TU, WAPIGWA 3-1 NA WEST BROMWICH ALBION

    Craig Dawson akiwa hewani juu ya Nahodha wa Arsenal, Laurent Koscielny kuifungia West Bromwich Albion bao la kwanza dakika ya 12 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya timu ya kocha Mfaransa, Arsene Wenger katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa The Hawthorns. Dawson alifunga mabao mawili na la tatu dakika ya 75, huku la pili la West Bromwich likifungwa na Hal Robson-Kanu dakika ya 55 na la kufutia machozi la Washika Bunduki wa London, likifungwa na Alexis Sanchez dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YA KUJIPIGIA TU, WAPIGWA 3-1 NA WEST BROMWICH ALBION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top