• HABARI MPYA

  Monday, March 20, 2017

  'MADEMU' WA ARSENAL WAWAFUMUA 10-0 TOTTENHAM KOMBE LA FA

  Danielle van de Donk (katikati) akishangilia na mchezaji mwenzake, Kim Little (kulia) baada ya kuifungia mabao matatu Arsenal katika ushindi wa 10-0 dhidi ya Tottenham Hotspur usiku wa jana katika mchezo wa Raundi ya Tano ya Kombe la FA, England. Mabao mengine yalifungwa na Danielle Carter mawili, Dominique Jansse, Kim Little, Chloe Kelly, Beth Mead na Katie McCabe. Ilikuwa ni siku mbaya kwa ujumla jana kwa Spurs, kwani katika Ligi Kuu ya England wanaume pia ilifungwa 2-1 na Southampton Uwanja wa White Hart Lane PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'MADEMU' WA ARSENAL WAWAFUMUA 10-0 TOTTENHAM KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top