• HABARI MPYA

    Wednesday, November 02, 2016

    SAFARI YA MWISHO YA BONDIA THOMAS MASHALI

    Jeneza lililobeba mwili wa bondia Thomas Mashali aliyefariki dunia usiku wa kuamkia juzi baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana eneo la Kimara Bonyokwa, Dar es Salaam ukiwasili makaburi ya Kinondoni jioni ya leo tayari kwa mazishi - baada ya kuagwa kwenye viwanja vya Leaders Club.
    Waombolezaji wakiangua vilio wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Leaders Club leo mchana
    Jeneza likiteremshwa kutoka kwenye gari
    Bondia Japhet Kaseba akiwa ameshika msalaba wa wasifu wa marehemu
    Waombolezaji wakiaga mwili  wa marehemu
    Sehemu ya umatu wa watu uliojitokeza kwenye safari ya mwisho ya Mashali 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAFARI YA MWISHO YA BONDIA THOMAS MASHALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top