• HABARI MPYA

    Friday, November 11, 2016

    HII CHENGA NIYONZIMA ALIMPIGA MAU BOFU JANA BALAA!

    Kiungo Haruna Niyonzima (kushoto) akipiga kasi ya kumpiga chenga kali beki wa Ruvu Shooting, Mau Ally Bofu kabla ya kutia krosi iliyounganishiwa nyavuni na winga Simon Msuva kuipati Yanga bao la kusawazisha katika ushindi wa 2-1 jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
    Niyonzima amekwishamuacha chini Mau Bofu sasa anakwenda kutia krosi 
    Niyonzima aliwasisimua mashabiki jana Uwanja wa Uhuru kwa chenga hiyo 
    Na kwa ujumla Nahodha huyo wa Yanga jana alikuwa katika kiwango kizuri mno kimchezo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HII CHENGA NIYONZIMA ALIMPIGA MAU BOFU JANA BALAA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top