• HABARI MPYA

  Friday, November 11, 2016

  URUGUAY YASHINDA 2-1 DHIDI YA ECUADOR KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez (kulia) akipiga mpira mbele ya beki wa Ecuador, Juan Carlos katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini leo Uwanja wa Centenario mjini Montevideo,Uruguay. Uruguay imeshinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Sebastian Coates na Diego Rolan, huku la Ecuador likifungwa na Felipe Caicedo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: URUGUAY YASHINDA 2-1 DHIDI YA ECUADOR KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top