• HABARI MPYA

  Sunday, November 20, 2016

  BUSUNGU APATA AJALI MORO, GARI YAKE 'NYANG'ANYANG'A'

  Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akiishangaa gari yake aina ya Subaru baada ya kupata ajali eneo la Dakawa, Morogoro janan wakati akielekea Dodoma.
  Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akiwa ameegemea gari lake aina ya Subaru, huku akilia jana baada ya kupata ajali eneo la Dakawa, Morogoro akielekea Dodoma.
  Busungu alikuwa nyumbani kwao, Mzumbe Morogoro ambako alilala kwa siku moja kabla ya kuanza safari ya Dodoma, kwa mujigu wa Meneja wake Mohammed Yahya 'Tostao'
  Busungu ndiye aliyekuwa chanzo cha ajali baada ya kugonga gari nyingine iliyokuwa mbele yake na gari zote kwa sasa zipo kituo cha Polisi Dakawa, lakini hakuna aliyeumia kati ya wote waliokuwa kwenye vyombo hivyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BUSUNGU APATA AJALI MORO, GARI YAKE 'NYANG'ANYANG'A' Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top