Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka mchezaji wa Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga
Beki wa Mwadui, David Luhende akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Aggrey Morris
Winga wa Azam, mzibabwe Bruce kangwa akimtoka mchezaji wa Mwadui
Mshambuliaji wa Azam, John Bocco akimtoka mchezaji wa Mwadui
Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Mwadui, David Luhende
0 comments:
Post a Comment