• HABARI MPYA

  Sunday, February 07, 2016

  ARSENAL YANG'ARA UGENINI ENGLAND, YAICHAPA 2-0 BOURNEMOUTH

  Nyota wa Arsenal, Mesut Ozil akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Arsenal limefungwa na Alex Oxlade Chamberlain PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YANG'ARA UGENINI ENGLAND, YAICHAPA 2-0 BOURNEMOUTH Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top