• HABARI MPYA

  Saturday, February 20, 2016

  ARSENAL YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA HULL CITY KOMBE LA FA

  Beki wa kati wa Arsenal, Laurent Koscielny (kushoto) akiondoka na mpira dhidii ya mchezaji wa Hull City, Adama Diomande katika mchezo wa Raundi ya Tano ya Kombe la FA jioni ya leo Uwanja wa Emirates, London. Timu hizo zilitoka 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA HULL CITY KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top