TENGA 'MTU WA BATA' KITAMBO TU TANGU ANAPIGA KITABU UD
Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (kushoto) akifurahia na rafiki zake enzi zake anasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) miaka ya 1980. Huo ni wakati ambao alikuwa anamalizia soka yake katika klabu ya Pan Africans, baada ya kuwika Yanga SC kuanzia miaka ya 1970. Tenga alikuwa pia Nahodha na beki tegemeo wa kati wa timu ya taifa wakati wake anacheza
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment