Makocha wa Simba SC wakati wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 1993, timu hiyo ikifika fainali na kuweka rekodi ya timu pekee ya kuwahi kucheza fainali ya Kombe la Afrika; Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden' (katikati), Msaidizi wake, Etenneh Eshete (kulia) na Daktari Msemakweli (kushoto). Kibaden pia ana rekodi ya kufunga mabao matatu peke yake katika mechi dhidi mahasimu Yanga, SImba ikishinda 6-0 Julai 19, mwaka 1977 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment