Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Thursday, February 25, 2016

  MANCHESTER YANG'ARA ULAYA, YAICHAPA DYNAMO KIEV 3-1

  Kikosi cha Manchester City kilichoifunga mabao 3-1 Dynamo Kiev katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana mjini Kiev. Mabao ya City yalifungwa na Sergio-Aguero, David-Silva na Yaya Toure, wakati la Dynamo lilifungwa na Vitaliy Buyalskiy PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: MANCHESTER YANG'ARA ULAYA, YAICHAPA DYNAMO KIEV 3-1 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top