Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
  • HABARI MPYA

    Monday, February 29, 2016

    HAJIB AKABIDHIWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SIMBA SC

    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akikabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Januari wa SImba SC jana baada ya mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Note: Only a member of this blog may post a comment.

    Item Reviewed: HAJIB AKABIDHIWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

    PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

    Scroll to Top