• HABARI MPYA

    Sunday, February 21, 2016

    YANGA SC 'ILIVYOWALAMBA' WAPINZANI WA JADI SIMBA TAIFA JANA

    Beki wa Simba SC, Abdi Banda (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe akipiga mpira mbele ya mabeki wa Simba jana
    Wachezaji Wazimbabwe, kiungo Justive Majabvi wa Simba SC (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji Donald Ngoma wa Yanga
    Abdi Banda (kulia) akipambana na Donald Ngoma jana Uwanja wa Taifa
    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima (kulia) akijivuta kupiga mpira pembeni ya mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib
    Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke
    Kocha wa Simba SC, Jackson Mayanja akimpa maelekezo Mganda mwenzake, mshambuliaji Hamisi Kiiza jana Uwanja wa Taifa
    Donald Ngoma akimtoka Mzimbabwe mwenzake, Justice Majabvi jana Dar es Salaam
    Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimiliki mpira mbele ya beki Mganda wa Simba SC, Juuko Murshid
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba SC, Hassan Kessy jana Uwanja wa Taifa  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC 'ILIVYOWALAMBA' WAPINZANI WA JADI SIMBA TAIFA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top