Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Monday, February 22, 2016

  PRISONS WALIVYOWAPASHIA KISAWASAWA 'LAMBA LAMBA' LEO MJINI MBEYA

  Wachezaji wa Prisons wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara keshokutwa dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja huo huo PICHA NA DAVID NYEMBE
  Prisons walifanya mazoezi ya nguvu kabla ya kuwaposha wageni wao, Azam FC nao kufanya mazoezi yao

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: PRISONS WALIVYOWAPASHIA KISAWASAWA 'LAMBA LAMBA' LEO MJINI MBEYA Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top