Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Tuesday, February 23, 2016

  THIERRY HENRY NA WACHEZAJI WA TIMU YAKE YA ZAMANI, SUAREZ, NEYMAR NA MESSI

  Gwiji wa Arsenal, Thierry Henry (wa pili kushoto) akiwa na wachezaji wa timu yake ya zamani, Barcelona Luis Suarez (kushoto), Lionel Messi na Neymar kulia kwake walipokutana London jana. Barcelona ipo London kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Arsenal usiku wa leo Uwanja wa Emirates PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: THIERRY HENRY NA WACHEZAJI WA TIMU YAKE YA ZAMANI, SUAREZ, NEYMAR NA MESSI Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top