Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiifungia timu yake bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Las Palmas katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Gran Canaria. Bao lingine la Barca lilifungwa na Neymar, wakati la wenyeji limefungwa na Willian Jose Da Silva PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sterling leaves Chelsea by mutual consent
-
Raheem Sterling leaves Chelsea by mutual consent after reaching an
agreement on his departure.
28 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment