• HABARI MPYA

    Monday, December 14, 2015

    WATANI WA JADI WA TANGA, AFRICAN SPORTS NA COASTAL UNION WALIVYOMENYANA JANA MKWAKWANI

    Mshambuliaji wa Coastal Union, Abawarim Chidiebele (kushoto akimiliki mpira mbele ya beki wa African Sports, Juma Shemvuni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1.
    Beki wa Coastal Union, Yussuf Chuma (kushoto) akimdhibiti mshambuliaji wa African Sports, Hassan Materama
    Mshambuliaji wa African Sports, Maulid Abbas akiwatoka wachezaji wa Coastal Union
    Beki wa Coastal Union, Hamad Juma akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa African Sports
    Kikosi cha Coastal Union jana
    Kikosi cha African Sports jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WATANI WA JADI WA TANGA, AFRICAN SPORTS NA COASTAL UNION WALIVYOMENYANA JANA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top