• HABARI MPYA

    Sunday, December 13, 2015

    BOBAN ALIVYOWATUNGUA MTIBWA SUGAR JANA WAKITOA SARE YA 2-2 NA MBEYA CITY

    Haruna Moshi 'Boban' (14) akiifungia Mbeya City kwa kichwa jana katika sare ya 2-2 na Mtibwa Sugar Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Bao lingine la MCC lilifungwa na Issa Nelson akimalizia aliyemalizia krosi ya Boban, wakati mabao ya Mtibwa yalifungwa na Ally Sharrif na Said Bahanuzi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BOBAN ALIVYOWATUNGUA MTIBWA SUGAR JANA WAKITOA SARE YA 2-2 NA MBEYA CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top